Fraga afanyiwa upasuaji wa goti Brazil

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Nov 2020
Fraga afanyiwa upasuaji wa goti Brazil

Aliyekuwa kiungo wa Simba Gerson Fraga amefanyiwa upasuaji wa goti nchini kwao Brazil

Nyota huyo aliyejijengea heshima ndani ya Simba, anatarajiwa kuwa nje kwa zaidi ya miezi sita

Ni majeraha makubwa ambayo kwa hakika yamefupisha maisha yake ndani ya Simba

Kutokana na umuhimu wa nafasi anayocheza, Simba ilifikia makubaliano nae ya kuvunja mkataba wake wa mwaka mmoja na nafasi yake kusajiliwa mchezaji mwingine

Hata hivyo Simba imeendelea kugharamia matibabu yake kwani aliumia wakati akiwatumikia mabingwa hao wa soka Tanzania Bara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’