Kocha Gendarmarie atoa kali ya mwaka

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Feb 2018
Kocha Gendarmarie atoa kali ya mwaka
Kocha wa Gendarmerie Mvuyekure Issa jana ametoa kali ya mwaka baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya timu yake na Simba kwenye uwanja wa Taifa na kukubali kipigo cha mabao 4-0.

Kocha huo aliwaambia waandishi wa habari kuwa kufungwa mabao manne pekee na Simba ni mafanikio makubwa kwao kwani wamezoea kufungwa mabao nane hadi kumi!

"Namshukuru Mungu, kwakweli sikutarajia kufungwa mabao manne tu na Simba, tulitegemea zingekuwa zaidi ya nane au kumi kwasababu zamani ndio ilikuwa kawaida yetu."

"Tukiendelea hivi mwaka ujao tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi"

Simba itaifuata Gendarmerie February 20 kwenye mchezo wa marudiano.

Bila shaka katika mchezo huo Simba itamzawadia Mvuyekure Issa idadi hiyo ya magoli aliyozoea!

Hata hivyo Simba jana ingeweza kufunga mabao zaidi kama ingetumia vizuri nafasi nyingi ilizotengeneza.

Simba ilimiliki mchezo kwa zaidi ya asilimia 80, muda mwingi wakiwa langoni kwa Gendarmerie
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’