Kikosi cha Simba kinafanya mazoezi katika viwanja vya Polisi jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom shidi ya Mtibwa Sugar, Jumapili, Oktoba 15.
Kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog anaongoza program za mazoezi akisaidiwa na msaidizi wake Jackson Mayanja.
Simba iko kileleni katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom ikiwa na alama 11 sawa na Mtibwa Sugar na Azam FC.
Simba inaongoza kutokana na utajiri wake wa mabao (+11).
Omog amedhamiria kuhakikisha Simba haishuki kileleni hadi inatwaa ubingwa mwishoni mwa msimu.

ADVERTISE HERE