Mchezo wa kwanza wa hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa kati ya Plateau United dhidi ya Simba utapigwa Jumapili Novemba 29 katika uwanja wa New Jos
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni kwa saa za Nigeria ambapo kwa huku Tanzania itakuwa saa 12 jioni
Kikosi cha Simba kimeweka kambi Abuja, ambako watakamilisha maandalizi yao kabla ya kuelekea Mji wa Jos ulio takribani kilomita 200 kutoka Abuja
Simba iliwasili Nigeria jana, wachezaji wote 24 wakiwa katika hali nzuri tayari kuipigania Simba kwenye mchezo huo
ADVERTISE HERE