Baada ya kutua Nigeria mapema leo, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba Sc kimefanya mazoezi Gym kuondoa uchovu wa safari
Maandalizi ya kuelekea mchezo dhidi ya Plateau United yanaendelea

ADVERTISE HERE