Baada ya kutua nchini Ethiopia jioni ya jana Jumanne, mapema leo kikosi cha Simba kimeondoka nchini humo kuelekea Nigeria
Msafara wa mabingwa hao wa nchi wameunganisha na Ndege ya moja kwa moja wakitarajiwa kutua jiji la Lagos baadae leo
Simba itaunganisha kuelekea Mji wa Jos ambao ndiko mchezo wake dhidi ya Plateau United utapigwa Jumamosi
ADVERTISE HERE