Simba yaianza safari ya Nigeria

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Nov 2020
Simba yaianza safari ya Nigeria

Kikosi cha mabingwa wa soka nchini Simba tayari kimewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuianza safari ya nchini Nigeria

Miamba hao wa soka nchini, wataondoka saa 11:45 jioni na kufika usiku jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo watapumzika mjini hapo na kuendelea na safari ya kwenda Abuja, Nigeria siku ya Jumatano asubuhi

Mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United utapigwa siku ya Jumamosi na timu hizo zitarudiana nchini baada ya wiki moja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’