Simba yatajwa kumuwania kiungo Mganda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Nov 2020
Simba yatajwa kumuwania kiungo Mganda

Mabingwa wa nchi Simba wako kwenye msako wa kiungo mkabaji atakayechukua nafasi ya Gerson Fraga ambaye mkataba wake na Simba umevunjwa kutokana na majeraha yatakayomuweka nje kwa zaidi ya miezi sita

Jina la kiungo mkabaji raia wa Uganda, Taddec Lwanga limeibuka akitajwa kukaribia kutua Msimbazi

Taddec ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba klabu ya Tanta Sc inayoshiriki ligi kuu ya Misri

Ni miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 amewahi kuzitumikia Express,SC Villa na Vipers zote za nchini Uganda

Anaweza kuwa miongoni mwa wachezaji ambao watajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa inayoanza wiki ijayo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
28m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’