Majukumu ya Kimataifa yapangua Ratiba ya Simba, Namungo Ligi Kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Nov 2020
Majukumu ya Kimataifa yapangua Ratiba ya Simba, Namungo Ligi Kuu

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imeiondoa Kwenye ratiba michezo miwili, namba 116 ambao ulikuwa ni dhidi ya Simba v KMC na mchezo namba 119 ulikuwa kati ya Namungo v Biashara United.

Taarifa iliyotolewa na TPLB kwa vyombo vya Habari jana Novemba 23, imeeleza kuwa mechi hizo zimebadilishwa tarehe ili kuzipa nafasi timu za Simba na Namungo FC kufanya maandalizi kuelekea mechi za kimataifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’