Nyota 24 wanaokwenda Nigeria

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Nov 2020
Nyota 24 wanaokwenda Nigeria

Klabu ya Simba imeweka hadharani kikosi chake cha wachezaji 24 ambao wataondoka leo Jumanne kuelekea nchini Nigeria tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya Plateau United

Kikosi cha Simba kitaondoka nchini kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwenda Nigeria kwa kupitia Ethiopia.

Safari itaanza saa 11:45 jioni na kufika usiku jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo kikosi kitapumzika mjini hapo na kuendelea na safari ya kwenda Abuja, Nigeria siku ya Jumatano asubuhi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’