Rais CAF afungiwa miaka mitano

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Nov 2020
Rais CAF afungiwa miaka mitano

Shirikisho la soka Duniani FIFA limemfungia miaka mitano Rais wa CAF, Ahmad Ahmad kutojihusisha na soka

Taarifa ya FIFA imeeleza kwamba Ahmad ameshtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na pesa za CAF ikihusishwa na kufadhili safari za kwenda Makka kwa baadhi ya marais wa mashirikisho ya soka Afrika.

Ahmad anatakiwa kuachia ofisi kabla ya mwezi march ambapo uchaguzi mkuu wa CAF utafanyika na yeye alishatangaza nia ya kuwania tena.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’