Kagere, Miquissone waongeza mzuka Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Nov 2020
Kagere, Miquissone waongeza mzuka Simba

Nyota wa Simba Meddie Kagere na Luis Miquissone wamerejea kikosini baada ya kumaliza majukumu ya timu za Taifa

Nyota hao walirejea jana na moja kwa moja kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United ya Nigeria

Mchezo huo utapigwa mwishoni mwa wiki katika Mji wa Jos kilomita 1000 kutoka jiji la Lagos

Kagere alipata majeraha mwezi uliopita, alipewa ruhusa na kurudi kwao Rwanda kwa ajili ya matibabu

Baada ya majeraha yake kupona, alijiunga na timu ya Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’