Nahodha wa Simba John Bocco ameongoza shoo ya kibabe mkoani Arusha akiweka kambani hat-trik katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao unapigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Mpaka kufikia dakika ya 60, Simba ilikuwa tayari imeweka kambani mabao sita bila ya majibu
Bocco anashikiria usukani katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akifikisha mabao saba
Mnyama anaendelea kutoa adhabu dimba la Sheikh Amri Abeid...!
ADVERTISE HERE