Wanne kuikosa Coastal Union

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Nov 2020
Wanne kuikosa Coastal Union

Simba imekamilisha maandalizi ya mwisho leo kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Sven Vandenbroeck amesema nyota wake wanne wa kikosi cha kwanza watakosekana katika mchezo huo

Mnyarwanda Meddie Kagere, Jonas Mkude na Luis Miquissone waliokuwa na majukumu ya timu ya Taifa, watakosekana baada ya kuchelewa kuungana na wenzao

Aidha mshambuliaji Chris Mugalu bado hajapona majeraha yanayomsumbua

Simba ilitua Arusha jana tayari kwa mchezo huo wa mzunguuko wa 12 ligi kuu ya Vodacom

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
48m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’