Morrison amemaliza adhabu tayari kuikabili Coastal Union

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Nov 2020
Morrison amemaliza adhabu tayari kuikabili Coastal Union

Kiungo mshambuliaji wa Simba Bernard Morrison yuko huru kuwatumikia mabingwa hao wa nchi baada ya kumaliza adhabu ya mechi tatu alizokuwa amefungiwa

Morrison alifungiwa baada ya mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ambao alimpiga ngumi beki wa timu hiyo Juma Nyosso

Amekosa michezo dhidi ya Kagera Sugar, Mwadui Fc na Yanga

Winga huyo msumbufu bila shaka kesho atarejea kikosi katika mchezo dhidi ya Coastal Union utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amemjumuisha Morrison katika kikosi chake kilichowasili mkoani Arusha jana

Leo jioni Simba inakamilisha maandalizi yake ya mwisho dimba la Sheikh Amri Abeid

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’