Uongozi wa klabu ya Simba umetoa ufafanuzi wa madai yaliyotolewa na FCC kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Mfumo wa Uendeshaji wa klabu hiyo
Klabu ya Simba imebainisha kuwa inaamini imefuata taratibu zote za kisheria katika kukamilisha mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji kama ilivyoelekezwa na FCC

ADVERTISE HERE