Mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom inarejea wiki hii baada ya kumalizika kwa mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021
Wakati mechi tatu zikitarajiwa kupigwa leo, mabingwa wa nchi Simba wako mkoani Arusha, kesho Jumamosi wakitarajiwa kushuka uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili Coastal Union
Hii hapa ratiba ya mechi zote za mzunguuko wa 12

ADVERTISE HERE