Jezi za Simba kuuzwa bei chee uwanjani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Feb 2018
Jezi za Simba kuuzwa bei chee uwanjani
Simba inashuka kwenye uwanja wa Taifa leo kuivaa Gendarmarie ya Djibout kwenye mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho barani Afrika, hatua ya awali.

Mchezo huo una umuhimu wa kipekee kwani baada ya miaka mitano, Simba imerejea kwenye anga za Kimataifa.

Simba sio ya mchezo mchezo katika anga hizo tofauti ya timu nyingine kutoka Tanzania.

Ni Simba pekee ambayo iliwahi kutinga fainali ya michuano hiyo (zamani ikiitwa kombe la washindi) mwaka 1993.

Huu sio mchezo wa kukosa! Twendeni uwanjani tukamshuhudie mnyama akidhihirisha kwa nini anasifika anga za Kimataifa.

Habari njema zaidi ni kwamba jezi za Simba zitauzwa uwanjani kwa bei ya punguzo ya Tsh 7,000/- tu.



Kwa kawaida jezi za Simba huuzwa kati ya Tsh 10,000/- na Ths 15,000/- lakini kwa wale watakaofika uwanja wa Taifa leo, watapata punguzo maalumu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’