Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba jioni ya leo kitaruka kwa usafiri wa Ndege kuelekea mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi y Coastal Union
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid
ADVERTISE HERE