Simba kamili kuifuata Coastal Union Arusha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Nov 2020
Simba kamili kuifuata Coastal Union Arusha

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Arusha ambako keshokutwa Jumamosi watashuka kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Coastal Union wamechagua kutumia uwanja wa Sheikh Amri Abeid baada ya uwanja wa Mkwakwani kufungiwa na Bodi ya Ligi mpaka pale utakapofanyiwa marekebisho katika eneo lake la kuchezea

Baada ya mikikimikiki ya mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021, Simba inatarajiwa kutinga mkoani Arusha ikiwa na kikosi chake kamili

Baadhi ya nyota waliokuwa na majukumu ya timu ya Taifa tayari wameingia kambini huku wengine wakitarajiwa kuwasili leo

Baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union Jumamosi, Simba itakuwa na takribani siku saba za kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Ptateau United ambao utapigwa nchini Nigeria wiki ijayo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’