Mchezo dhidi ya Dodoma Jiji wapigwa kalenda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Nov 2020
Mchezo dhidi ya Dodoma Jiji wapigwa kalenda

Bodi ya Ligi imefanya mabadiliko ya ratiba ya mechi za Simba na Namungo Fc kutokana na timu hizo kukabiliwa na majukumu ya kuiwakilisha nchi kwenye michuano ya CAF

Mchezo kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba uliokuwa upigwa Novemba 24 umesogewa mbele ili kuipa nafasi Simba kujiandaa na mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United

Jumamosi Novemba 21 Simba itacheza na Coastal Union mkoani Arusha kabla ya safari ya kuelekea nchini Nigeria kuikabili Plateau United kwenye mchezo ambao utapigwa mwishoni mwa mwezi huu

Namungo wao walipaswa kucheza na KMC Novemba 24, nao mchezo wao umesogezwa mbele wapate nafasi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya wapinzani wao wa michuano ya kombe la Shirikisho kutoka Sudan Kusini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’