Mchezo dhidi ya Coastal Union kupigwa Arusha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Nov 2020
Mchezo dhidi ya Coastal Union kupigwa Arusha

Mchezo wa ligi kuu kati ya Coastal Union dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, Novemba 21, umepelekwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha

Uwanja wa Mkwakwani ulifungiwa na TFF. Coastal Union wamechagua kutumia uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Uongozi wa Simba umewataka mashabiki wa Simba mkoani Arusha pamoja na maeneo ya jirani wakae tayari kuiunga mkono timu yao katika mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’