Akumu kwenye rada za Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Nov 2020
Akumu kwenye rada za Simba

Simba iko kwenye mchakato wa kusajili kiungo mkabaji ambaye atachukua nafasi ya Gerson Fraga aliyefikia  makubaliano ya kuvunja mkataba wake baada ya kupata majeraha ambayo yatamuweka nje kwa muda mrefu

Hesabu za Simba ni kuhakikisha inampata kiungo mkabaji mwenye uwezo mkubwa ambaye ataongeza utulivu katika nafasi hiyo ambayo kwa sasa anategemewa zaidi Jonas Mkude

Jina la kiraka Anthony Akumu limetajwa kuingia katika rada za mabingwa hao wa nchi

Akumu aliitumikia Zesco United msimu uliopita, alijiunga na Kaizer Chiefs mapema msimu huu

Nyota huyo wa zamani wa Gor Mahia yuko tayari kuondoka Kaizer Chiefs kama Simba itaweza kumalizana na wababe hao wa soka kule Bondeni

Aidha uwepo wa Wakenya Joash Onyango na Francis Kahata katika klabu ya Simba, utamuongezea ushawishi kuja nchini

Alijiunga na Kaizer Chiefs kwa mkataba wa miaka miwili, Chiefs wanaweza kumuuza kama watapata ofa nono

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’