Kocha wa zamani wa Simba Patrick Aussems ametimuliwa kunako klabu ya Black Leopards inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini baada ya mechi tatu tu
Aussems aliyetambulishwa kujiunga na timu hiyo mwezi uliopita, amefungwa mechi zote tatu alizokaa katika benchi
Kocha mwingine wa zamani wa Simba Dylan Kerr aliyewahi kuzinoa Gor Mahiza na Baroka Fc, anatarajiwa kurithi mikoba ya Aussems
Aussems alijiunga na Black Leoprads baada ya mafanikio makubwa aliyopata wakati akiwa Simba, kushinda ubingwa wa ligi kuu pamoja na kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
ADVERTISE HERE