Usajili wa CAF kutambulishwa wiki hii

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Nov 2020
Usajili wa CAF kutambulishwa wiki hii

Mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na Wanahabari, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' alisema kuanzia wiki hii wataweka hadharani nyota walioongeza mikataba pamoja na wale wapya waliowasajili kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa itakayoanza mwishoni mwa mwezi huu

Vilabu vyote vinavyoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la shirikisho msimu huu, vimeruhusiwa kusajili wachezaji 40 kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na corona pale baadhi ya wachezaji wanapokumbwa na virusi vya ugonjwa huo

Mo alithibitisha kuongezwa mkataba wa Clatous Chama huku akibainisha kuwa hatma ya nyota wengine akiwemo mfungaji bora Meddie Kagere itafahamika wiki hii

Inaelezwa Kagere pia ameongeza mkataba wa kuendelea kubaki Msimbazi kwa muda mrefu zaidi

Simba imekusudia kutumia nafasi 10 walizopewa na CAF kusajili nyota 10 wa kigeni ili kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Hata hivyo Mo alisema wanasubiri mwongozo wa TFF baada ya kuandika barua rasmi kwa shirikisho hilo wakiomba ruhusa ya kufanya usajili huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’