FT : Simba 0-0 African Sports

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Nov 2020
FT : Simba 0-0 African Sports

Mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya African Sports uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Ulikuwa mchezo ambao kocha Sven Vandenbroeck alifanya mabadiliko makubwa ya kikosi chake kutokana na kuwakosa takribani wachezaji 11 walioitwa timu za Taifa

Wachezaji wa Simba B Henry Hussein na Hassan Mohammed walipata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza huku Omary Kazi, Isack Emmanuel, Godfrey Mbonahenga, Seif Suleiman na Hamis Manguka wakianzia benchi

Wachezaji wa kikosi cha kwanza walioanza leo ni pamoja na Clatous Chama ambaye karibuni ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Simba mpaka mwaka 2022

Wengine Kannedy Juma, Ibrahim Ame, Miraji Athumani, Rally Bwalya, Francis Kahata, Charles Ilanfya na Ibrahim Ajib

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
58m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’