Tuweke utaifa mbele, tuiunge mkono Stars - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Nov 2020
Tuweke utaifa mbele, tuiunge mkono Stars - Manara

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amewataka Watanzani kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu ya Taifa hapo kesho itakapochuana na Tunisia katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcona 2021

Manara ambaye ni MJumbe wa kamati ya Hamasa ya Stars, amesema kuiunga mkono Stars hakuna mjadala kwani ni suala la Utaifa

Amesema mashabiki wa Simba na Yanga nje ya vilabu vyao hawana timu nyingine ya Taifa isipokuwa Tanzania

"Kitu cha kwanza cha kuzingatia ni utaifa, sisi ni Watanzania, Simba na Yanga zile sio nchi ni klabu"

"Hauwezi kwenda nje ya Tanzania ukaulizwa unatoka wapi ukajibu Yanga au Simba lazima uitaje Tanzania hivyo kwa pamoja kesho tuvae jezi za Stars tuingie uwanjani kuwashangilia vijana wetu," amesema

Stars itashuka uwanjani kesho Jumanne, saa nne usiku kuikabili Tunisia katika mchezo ambao matokeo ya ushindi ndio yanayohitajika zaidi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’