Baadae leo, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kitakuwa uwanjani Azam Complex Chamazi wakicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya African Sports kutoka jijini Tanga
Simba inatumia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi yake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Novemba 22
Viinglio vya mchezo huo VIP ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-
Mchezo huo awali ulipangwa kupigwa saa 11 jioni lakini sasa utachezwa saa moja usiku
ADVERTISE HERE