Mkutano wa Mo kufanyika Golden Jubilee Towers

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Nov 2020
Mkutano wa Mo kufanyika Golden Jubilee Towers

Mchana wa leo majira ya saa sita Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' atazungumza na Wanahabari kuweka wazi masuala mbalimbali yanayoihusu klabu ya Simba

Mkutano huo ambao utarushwa mbashara na Azam Sport 2, utafanyika katika jengo la Golden Jubilee Towers, ghorofa ya 20

Jana Mo aliongoza kikao cha Bodi ya Wakurugenzi ambacho kilijadili masuala mbalimbali na bila shaka Mo ataweka hadharani baadhi ya ajenda zilizozungumzwa katika kikao hicho wakati huu ambao Simba inajiandaa kuanza kampeni ya michuano ya ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
30m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’