Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, kesho Jumapili atakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika kuanzia saa sita kamili mchana na utakuwa mbashara kupitia Azam TV na kurasa za mitandao ya kijamii
Katika Mkutano huo, Mo atazungumza kuhusu mambo muhimu kwa maendeleo ya Simba Sc
ADVERTISE HERE