Tuzo nyingine kwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Nov 2020
Tuzo nyingine kwa Simba

Kampuni ya Google kupitia mtandao wake wa Youtube, imetoa tuzo kwa klabu ya Simba baada ya kufuatiliwa na watu zaidi ya 100,000 kwenye mtandao huo

Ni heshima kubwa kwa Simba kuwa klabu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kupokea tuzo hii kutoka YouTube baada ya kufikisha wafuasi 100,000 (kwasasa zaidi ya 125,000) 

Pia Simba ni klabu ya kwanza kuthibitishwa na YouTube (verified).

"Tunawashukuru wote na tunaahidi kuendelea kuwa klabu namba moja ambayo inafanya vizuri uwanjani na mitandaoni tukiwa ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu," imesema sehemu ya taarifa iliyotolewa na Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’