Afcon Qualifier : Tunisia vs Tanzania leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Nov 2020
Afcon Qualifier : Tunisia vs Tanzania leo

Timu ya Taifa ya Tanzania leo itakuwa na shughuli pevu pale uwanja wa Olympique De Redes nchini Tunisia katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2021, wakiumana na wenyeji wao Tunisia

Baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa mabao 2-1 na Libya, huu ni mchezo ambao Tanzania haipaswi kupoteza ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu kundi J

Libya imefungwa na Guinnea ya Ikweta juzi, hivyo ushindi au sare kwa Stars itawarejesha kwenye nafasi ya pili

Tunisia ndio vinara wa kundi J wakiwa wamejikusanyia alama sita baada ya kushinda michezo yao yote miwili

Stars itaingia uwanjani leo ikimkosa nahodha wake Mbwana Samatta ambaye amepata majeraha akiwa na klabu yake ya Fernabahce

Samatta pia atakosekana kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa jijini Dar es salaam Novemba 17

Kila la kheri Tanzania..

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
51m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’