Viingilio mchezo dhidi ya African Sports

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Nov 2020
Viingilio mchezo dhidi ya African Sports

Kikosi cha Simba kimeanza mazoezi jana kujiandaa mechi za ligi kuu pamoja na mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United ya Nigeria

Mchezo huo utapigwa kati ya Novemba 27-29 kule nchini Nigeria na ule wa marudiano kupigwa Dar kati ya Disemba 04-06

Kama sehemu ya maandalizi yake, Jumatatu Novemba 16 Simba itashuka uwanja wa Azam Complex Chamazi kupimana ubavu na African Sports

Viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 11 jioni, VIP ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-

Hii ni nafasi kwa nyota ambao hawana majukumu ya timu za Taifa kumshawishi kocha Sven Vandenbroeck

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
48m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’