Watalia tena Disemba 15 - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Nov 2020
Watalia tena Disemba 15 - Manara

Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara, amewataka mashabiki wa timu hiyo wapuuze propaganda zinazoendeshwa na Yanga kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mchezaji wao Clatous Chama

Manara amesema Chama ni mchezaji halali wa klabu ya Simba na Yanga hawana ubavu wa kumsajili. Na kuwa, ni juzi tu amemalizana na uongozi wa Simba kabla hajasafiri kuelekea kwao Zambia kutimiza majukumu ya timu ya Taifa

Aidha Manara amesema Yanga bado wanateseka na winga Bernard Morrison, amewaambia wajiandae na pigo jingine Disemba 15 pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa

"Simba huwa haifanyi Propaganda katika mambo ya usajili,,inafanya kweli. Kile kilio cha Morrison kilikuwa cha mtoto, shughuli ipo December 15 dirisha dogo litakapofunguliwa na hapo ndio tutajua propaganda ni ipi na ukweli ni upi"

"Ila bomu tutakaloshusha,hawatakimbilia FIFA, wataenda hadi UNICEF, "alitamba Manara

Inaelezwa bosi Mo anaweza kutinga AS Vita kule DR Congo kuwan'goa Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe ambao imebainika wanacheza kwa mkopo Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’