Sven atahadharisha mechi ya Plateau United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Nov 2020
Sven atahadharisha mechi ya Plateau United

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema wanahitaji kufanya maandalizi kabambe ili kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo wa hatua ya awali dhidi ya Plateau United ya Nigeria

Sven amesema Plateau United sio timu ya kubeza, wana wachezaji wazuri lakini muhimu zaidi kwao ni kuhakikisha wanapata matokeo katika mechi zote mbili ili kufuzu raundi ya kwanza

"Tunahitaji kujiandaa kwa makini, michuano ya ligi ya mabingwa sio rahisi. Plateau United sio timu nyepesi, wana washambuliaji wenye kasi na mabeki imara hivyo tunapaswa kujiandaa vyema ili kuhakikisha tunaweza kushinda na kutinga raundi ya kwanza, " alisema Sven

Kikosi cha Simba kimeanza mazoezi jana kujiandaa na mechi mbili za ligi kabla ya safari ya Nigeria mwishoni mwa mwezi huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’