Kikosi cha Simba kimerejea mazoezini baada ya mapumziko ya siku chache kuelekea mechi za ligi kuu pamoja na michuano ya ligi ya mabingwa inayoanza mwishoni mwa mwezi huu
Aidha Jumatatu Simba itacheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi ya African Sports






ADVERTISE HERE