Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na mpango wa kuihujumu klabu ya Simba
Taarifa zilizopatikana mapema leo zimebainisha kuwa Senzo anatuhumiwa kufanya mawasiliano na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama Hashim Mbaga yanayodhaniwa yalilenga kuihujumu Simba kwenye michezo kadhaa.
Hivi karibuni Mbaga alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuihujumu Simba
ADVERTISE HERE