Timu ya Taifa 'Taifa Stars' imeondoka Uturuki kuelekea Tunisia ambako siku ya Ijumaa itacheza mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya Tunisia
Stars iliweka kambi ya siku tatu Uturuki kujiandaa na mchezo huo wa raundi ya tatu kundi J




ADVERTISE HERE