CAF yaongeza idadi ya usajili ligi ya mabingwa, kombe la Shirikisho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Nov 2020
CAF yaongeza idadi ya usajili ligi ya mabingwa, kombe la Shirikisho

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeongeza ukomo wa idadi ya wachezaji wanaoweza kusajiliwa na vilabu vinavyoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho kutoka 30 mpaka 40

Changamoto ya ugonjwa wa corona inatajwa kuwa sababu ya kuongezwa kwa idadi hiyo

Baadhi ya timu zilizoshiriki ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho msimu unaomalizika, zilikumbana na changamoto ya baadhi ya wachezaji wake kuzuiwa baada ya kubainika kuwa na maambukizi ya virusi vya COVID-19

Mfano ni klabu ya Horoya Ac ambayo ilicheza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Pyramids Fc ya Misri kikosi chake kikiwa na wachezaji 14 tu baada ya wachezaji wengine kukumbwa na corona

Simba imesajili wachezaji 25 katika awamu ya kwanza ya usajili wa CAF ambao ulifungwa Novemba 06

Itakuwa na nafasi ya kuongeza wachezaji wengine hadi 15 kwenye awamu ya pili na ya tatu ambayo ni baada ya hatua ya mtoano kumalizika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’