Kukosekana kwa Fraga kulituathiri - Magori

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Nov 2020
Kukosekana kwa Fraga kulituathiri - Magori

Mshauri wa Mwekezaji wa klabu ya Simba Crescentius Magori, amesema kwenye mechi ya watani wa jadi dhidi ya Yanga, kukosekana kwa Gerson Fraga eneo la kiungo ilikuwa changamoto kubwa kwao

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Magori alisema kwa uchezaji ambao Yanga walikuwa wanacheza kwa kutumia zaidi nguvu, Fraga angeweza kabisa kusaidiana vema na Jonas Mkude kuwadhibiti.

"Pengo la Fraga ambaye anafanya shughuli pale katikati lilionekana. Kwa sababu sidhani kama wachezaji wa Yanga wangepita pale. Ilikuwa ni shida sana kukosekana kwake kwa sababu yeye amekuwa akiwasaidia na kuwalinda mabeki wa kati na pia uchezaji wa kutumia nguvu ungeenda sawa na wale wa Yanga, hivyo kungekuwa na shughuli," alisema Magori.

Fraga, aliumia dakika za mwanzo tu kwenye mechi kati ya timu ya Simba dhidi ya Biashara United na nafasi yake kuchukuliwa na Said Ndemla, mechi ikichezwa Septemba 20 na hadi leo hajarejea uwanjani.

Mbali na hayo, alisema pia kukosekana kwa Meddie Kagere na Chris Mugalu nako kulisababisha kupungua kwa mashambulizi ya Simba kwani ilikuwa inatumia straika mmoja tu, huku Yanga ikiweka mabeki wengi wa kati na viungo wa kukaba, pia wachezaji wengi wakiwa wanarudi nyuma kusaidi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’