Bocco kupewa kazi maalum mechi ya Tunisia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Nov 2020
Bocco kupewa kazi maalum mechi ya Tunisia

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' iko nchini Uturuki ikiwa imeweka kambi ya siku tatu kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021

Novemba 13 watacheza na Tunisia katika mchezo utakaoipigwa hukohuko Tunisia

Taarifa iliyopatikana kutoka Uturuki, imebainisha kuwa nahodha Mbwana Samatta huenda akakosa mchezo huo baada ya kuugua

Madaktari wa klabu ya Fenerbahce wameshauri nyota huyo anayecheza kwa mkopo akitokea klabu ya Aston Villa apumzike

Hii ina maana nahodha Msaidizi John Bocco atapewa jukumu la kuongoza safu ya ushambuliaji katika mchezo huo

Bocco amerejea katika kiwango chake baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa takribani wiki 12

Ni miongoni mwa wachezaji wa Stars wanaojifua nchini Uturuki kuelekea mchezo huo na mchezo wa marudiano ambapo utapigwa nchini Novemba 17

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’