Simba kuanza na Plateau United ligi ya mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Nov 2020
Simba kuanza na Plateau United ligi ya mabingwa

Droo ya hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho, imefanyika mapema leo nchini Misri

Mabingwa wa Tanzania Bara Simba wao wataanza na Plateau United kutoka Nigeria

Simba itaanzia ugenini na mchezo wa marudiano kupigwa nchini baada ya wiki moja

Mechi za hatua ya awali zitapigwa Novemba 27-29 na marudiano Disemba 04-06

Mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Costa Do Sol dhidi ya Platinum Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
1m ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
56m ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
3h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
21h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’