Stars kuweka kambi Uturuki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Nov 2020
Stars kuweka kambi Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoka mapema leo kuelekea nchini Uturuki ambako wataweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Afcon 2021 dhidi ya Tunisia

Stars itaweka kambi ya siku tatu huko Uturuki kisha kuunganisha nchini Tunisia, mchezo ukitarajiwa kupigwa Novemba 13

Mchezo wa pili baina ya timu hizo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Novemba 17

Stars inahitaji angalau alama nne katika michezo yote miwili ili kujiwekea mazingira mazuri ya kukata tiketi

Nyota wa Simba waliosafiri na Stars ni pamoja na mlinda lango Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Mzamiru Yassin, Jonas Mkude, Said Ndemla na John Bocco

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’