Dabi limepita sasa nguvu zielekezwe ligi ya mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Nov 2020
Dabi limepita sasa nguvu zielekezwe ligi ya mabingwa

Klabu ya Simba itaanza majukumu ya kuiwakilisha Tanzania mwishoni mwa mwezi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Droo ya michezo ya hatua ya awali inatarajiwa kufanyika jijini Cairo kesho Jumatatu ambapo michezo ya hatua ya awali itapigwa kuanzia Novemba 27

Awamu ya kwanza ya dirisha la usajili kwa ajili ya michuano ya CAF msimu huu ilifungwa juzi

Kocha Sven Vandenbroeck anapaswa kuanza maandalizi ya kikosi chake mapema ili kuhakikisha malengo ya msimu huu yanafikiwa

Kwa sasa ligi kuu imesimama kwa takribani wiki mbili kupisha michezo ya timu za Taifa kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Afcon 2021

Baada ya kalenda ya Kimataifa ya CAF kupita, Simba itakuwa na wiki moja ya kukamilisha maandalizi kabla ya mikiki mikiki hiyo kuanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’