Mlinda lango wa Simba Said Mohammed 'Nduda' amepona majeraha yake ya goti na ameshaanza mazoezi kamili na kikosi cha kwanza.
Nduda hajaichezea Simba tangu asajiliwe wakati wa dirisha kubwa la usajili mwezi Julai 2017 baada ya kupata majerahi ya goti wakati wa maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii visiwani Zanzibar.
Nduda amesema yuko tayari kuitumikia Simba kama atapewa nafasi ya kukaa golini hata kwenye mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Gendarmarie keshokutwa Jumapili.
Kurejea kwake kunazidi kuimarisha kikosi cha Simba kinachoongoza ligi kwa tofauti ya alama saba.

ADVERTISE HERE