Mabingwa mapema tu kwa Mkapa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Nov 2020
Mabingwa mapema tu kwa Mkapa

Mashabiki wa klabu ya Simba wameendelea kumiminika kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni

Majukwaa ya upande wa klabu ya Simba yamependeza mapema kukiwa na kila dalili kuwa pamoja na Machampioni hao kuwa ugenini, mashabiki wake watakuwa wengi zaidi uwanjani ukilinganisha na watani zao Yanga

Miaka ya karibuni Simba imetawala michezo ya dabi ndani ya uwanja na hata nyomi la mashabiki wanaoingia uwanjani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’