Katika kusaidia kuboresha afya za Watanzania klabu ya Simba Sc ikishirikiana na wadhamini wao pamoja na Lions Club na Tanzanite Club, wametoa huduma bure kwa watu wenye magonjwa ya macho (kupima macho, kutoa dawa na miwani bure na pia upasuaji wa mtoto jicho) kwa wakazi wa Kibaha, Pwani
Ni jambo jema kurudisha fadhila kwa Wananchi. Tukio hilo ni sehemu ya shamrashamra kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa baadae leo uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam





ADVERTISE HERE