Mechi tutaimaliza mapema - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Nov 2020
Mechi tutaimaliza mapema - Manara

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amesema pamoja na kutarajia mchezo mgumu dhidi ya Yanga leo, lakini wana matumaini makubwa ya kuondoka na alama zote tatu

Manara amesema kama ulivyo utamaduni wao, wataingia katika mchezo huo wakicheza kandanda safi kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki ingawa anafahamu Yanga wataingia kwa kukamia

Amesema kwa ubora wa kikosi chao, nafasi kubwa zaidi ya kuondoka na alama zote tatu iko upande wao

"Tunajua ugumu wa mechi za Derby na tunafahamu wenzetu watakuja kucheza kwa kuparamia na kwa kutumia miguvu Kama ilivyo desturi yao. Lakini hakika yetu ni kucheza kwa utaratibu wetu na kutowadharau wapinzani wetu

"Tutawapress, wachezaji wetu wakitumia nafasi,bila shaka mchezo utaisha mapema kabisa. Mwisho wa Siku mshindi ni yule aliyejiandaa vizuri zaidi na mwenye kikosi bora ambae hakuna shaka ni Simbaaaaaa!!! Iwe kheri kwetu," aliandika Manara kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’