Chama apiga 'tizi la kufa mtu' Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Nov 2020
Chama apiga 'tizi la kufa mtu' Simba

Pamoja na uwepo wa taarifa kuwa kiungo Clatous Chama anaweza kukosekana kwenye mchezo dhidi ya Yanga kutokana na majeruhi, mwamba huyo wa Lusaka amejifua kikamilifu katika mazoezi ya jioni na hivyo kuweka matumaini kuwa anaweza kuwepo kesho

Mapema leo, kocha mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck alitoa taarifa ya wachezaji wake watatu kukosa mchezo dhidi ya Yanga, Chama akitajwa miongoni mwa wachezaji hao

Hata hivyo 'Triple C' ameshiriki ,mazoezi ya mwisho jambo linaloashiria kuwa huenda ikawa mbinu tu za Sven, kuwaingiza mkenge Yanga ambao wameonekana dhahiri kumuhofia Mzambia huyo

Simba imekamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa 11 jioni uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’