Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere anaendelea na program maalum za mazoezi akiwa na timu ya Taifa ya Rwanda
Kagere alirejea Rwanda kushughulikia majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya JKT Tanzania
Mfungaji bora huyo wa VPL kwa misimu miwili mfululizo, anaweza kuwa sapraizi Jumamosi pale Uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE